Ongeza kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako

Firefox for iOS Firefox for iOS Last updated:

Huna muda wa kutosha? Hifadhi kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako na kuzisoma baadaye kwenye iPhone yako, iPad au iPod, hata ukiwa nje ya mtandao.

Ongeza ukurasa kwa orodha ya Masomo yako

  1. The template "shareios" does not exist or has no approved revision.
  2. Bomba Firefox kwenye orodha inayotokea juu.
  3. Weka alama hundi karibu na Ongeza Orodha Ya Masomo kama haina. (Hiari: Ondoa alama karibu na Ongeza Maalamisho kama hutaki kuweka alama ukurasa.)
  4. Bomba Ongeza kumaliza.

Kuongeza ukurasa kutoka Msomaji

  1. Bomba ikoni ya msomaji Reader mode.
  2. Bomba ikoni Add to Reading List readinglist1 juu ya skrini.
  3. Kuondoa ukurasa, bomba ikoni ya taka trash icon fx iOS

Tazama orodha ya Masomo yako

Tayari kusoma? Fuata hatua hizi ili kutazama orodha ya masomo yako:

  1. Bomba baa ya anwani ili kuleta skirini ya nyumbani.
  2. Bomba ikoni ya orodha ya masomo Reader mode kuangalia orodha yako.
    FxiOS-sample-reading-list
  3. Kuondoa ukurasa wa mtandao, swipe kushoto na bomba Ondoa.
    FxiOS-remove-reading-list-article

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More