Badilisha injini ya utafuti chaguo katika Firefox kwa iOS

Firefox for iOS Firefox for iOS Last updated:

Firefox kwa iOS inakupa fursa ya kubadili injini yako ya utafutaji. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo:

  1. Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.

    tab icon ios
  2. Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)

    'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
    settings ios
  3. Bomba Search.
  4. Bomba ya sasa injini yako ya utafutaji ya msingi kubadilisha.
    default search ios
  5. Chagua injini ya utafutaji nyingine kutoka orodha kwenye skrini ijayo. Alama hundi itaonyesha uteuzi wako.
    search list ios
  6. Baada ya kuchagua injini yako ya utafutaji ya msingi mpya, Firefox itakupeleka kurudi katika Search skirni. Bomba Settings kurudi kwenye orodha, na bomba Done kuifunga.
Onyesha mapendekezo ya utafutaji: Wezesha hii ili kuona mapendekezo ya utafutaji kutoka injini msingi ya utafutaji unapopiga chapa katika baa ya anwani.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More