Firefox
Firefox
Created:
100% of users voted this helpful
Note: Hii inatumika kwa toleo la karibuni la Firefox release ambayo inaweza kupakuliwa kutoka mozilla.org/firefox.
Kama ni afadhali kutumia onyesho la PDF lilijengewa ndani, unaweza kutumia kitazamaji nyingine ya PDF kama Adobe Reader, Nitro PDF Reader au Sumatra PDFAdobe Reader, MozPlugger, au KParts pluginProgramu ya Mac OS Preview au Schubert|it PDF Browser Plugin.
Kubadili kutoka kitazamaji cha PDF kilichojengewa ndani hadi kingine:
- Bofya kifungo cha orodha na uchague
- Chagua paneli ya .
- Tafuta Portable Document Format (PDF) katika orodha na kibonyeze ili kuchagua.
- Bonyeza kwenye kunjuzi ya katika Action kwa ajili chagua hili na kuchagua kitazamaji cha PDF unachotaka kutumia.
Note: Kama unataka kuona faili ya PDF katika Firefox kutumia Plugin, badala ya programu ya nje, chagua Use PDF reader name (in Firefox). - Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.