Makala hii inaelezea jinsi ya kufunga Firefox kwenye Windows.
- Ili kuendeleza kutoka toleo la awali la Firefox, angalia Kusasisha Firefox na toleo la karibuni.
- Kabla ya kufunga Firefox, hakikisha kwamba kompyuta yako inapatana na mahitaji ya Mfumo wa kompyuta yako.
Usifunge Firefox kwa kutumia akaunti iliyopungukiwa ya Windows XP. Kwa maelezo zaidi, angalia nakala ilikujua Jinsi ya kujua aina yako ya akaunti katika Windows katika Microsoft.
Kwa watumiaji wa juu:Ukurasa wa kushusha, moja kwa moja huchagua toleo bora zaidi la Firefox kwa kompyuta yako na hutoa (mbegu) Kisakinishi. Kama unahitaji Kisakinishi kamili, nje ya mtandao au kama unataka kuwa na uchaguzi wa lugha na mfumo wa uendeshaji kwa Firefox ufungaji yako, tafadhali tembelea Ukurasa wa kushusha mifumo na lugha. Unaweza kushusha aidha 'Windows' (32-bit) Firefox toleo au, kwa mifumo ya uendeshaji 64-bit na Windows 7 na za juu, toleo jipya la 'Windows 64-bit' Firefox (tazama hii blog post kwa maelezo zaidi).
- Tembelea ukurasa huu wa kushusha Firefox katika browser yoyote, kama vile Microsoft Internet Explorer au Microsoft Edge. Ukurasa moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.
- Bonyeza kwenye
- Ikiwa unatumia Microsoft Internet Explorer au Microsoft Edge, upau wa arifa itaonekana chini ya ukurasa wa downlodi pamoja na chaguzi la kuendesha Kisakinishi au kuhifadhi faili kwa kompyuta yako. Bonyeza kuanzisha.
- Katika vivinjari vingine, unaweza kuhitaji kwanza kuokoa kisakinishi cha Firefox kwa kompyuta yako, kisha kufungua faili iliyopakuliwa. Note: Ukiona Fungua faili - Onyo la Usalama, bonyeza.
ili kushusha kipakiaji cha Firefox. Ukurasa huu moja kwa moja itapendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako.
- Kisha bonyeza
- Hongera, umemaliza kufunga Firefox!
(tumefanya mchakato kama rahisi iwezekanavyo).
- Bonyeza mara mbili kwenye ikoni ya Firefox wakati wowote unataka kwenda online.
Unapata matatizo?
Haya ni baadhi ya makala ambayo yanaweza kukusaidia: