Kunawirisha Firefox
- Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza menyu na kisha .Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza button, nenda kwenye menyu ndogo na kisha chagua .Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza
menyuJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza .
- Ikiwa huwezi kupata menyu ya, chapa about:support kwenye baa yako ya anwani ili kuleta ukurasa wa Habari la suluhisho .
- Bonyeza kifungo Seti upya Firefox…} katika kona ya juu kulia ya kurasa ya Kusuluhisha Habari.
- Kuendelea, bofya katika dirisha la uthibitisho linalofungua.Kuendelea, bofya katika karatasi ambayo latokea chini.
- Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya na Firefox itafunguka.Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya na Firefox itafunguka.
- Bonyeza kifungo cha menyu na kisha bonyeza msaada .
- Kutoka orodha ya
- Ikiwa huwezi kupatakwenye orodha, chapa 'kuhusu: msaada' katika baa ya anwani kuleta ukurasa wa 'Habari Kusuluhisha' .
.
- Nonyeza
- Kuendelea, bonyeza katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
- Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya na Firefox itafungua.
- Bonyeza kifungo cha Onyesha upya Firefox moja kwa moja, kama wewe ni kuangalia ukurasa huu katika Firefox (itakuwa si kazi kama unatumia browser tofauti). Unaweza pia kupata kifungo Refresh juu ya kona ya juu kulia wa Firefox kuhusu: msaada Troubleshooting Information.
- Kuendelea, bonyeza katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
- Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya na Firefox itafungua.
Je, kipengele cha kuweka upya kinafanya nini?
Mazingira yako yote ya Firefox na maelezo ya kibinafsi zinahifadhiwa kwenye folda ya profaili]. Kuweka upya kipengele hufanya kazi kwa kujenga folda mpya ya wasifu kwa ajili yako wakati wa kuhifadhi data zako muhimu.
Add-ons kwa kawaida huhifadhiwa ndani ya folda ya wasifu wa Firefox, kama vile extensions na mandhari, zitatolewa. Add-ons katika maeneo mengine, kama vile plugins, hazitaondolewa lakini mapendeleo yoyote yaliyobadilishwa (kama vile Plugins zilizo lemzawa) zitawekwa upya.
Firefox itaokoa vitu hivi:
- Maalamisho
- Historia ya kuvinjari
- Nywila
- Dirisha za kivinjari zilizo wazi, vikundi vya tabo na tabo
- Kuki
- Maelezo ya fomu za mtandao
- Kamusi ya binafsi
Vitu hivi na mazingira zitatolewa:
Upanuzi na mandhari, ruhusa za tovuti, pendeleo zilizobadilishwa, injini za utafutaji zilizoongezewa, historia ya ushushaji, uhifadhi wa DOM, ithibati ya usalama na mazingira ya kifaa, download actions, mipangilio ya plugin, ubinafsishaji wa eneo la toolbar, mipangilio ya mtumiaji na vipengele vya kijamii vitatolewa.