Ikiwa unatumia Firefox kwenye vifaa mbalimbali, Akaunti yako ya Firefox inakuwezesha kusawazisha historia yako, tabo wazi, maalamisho na neno-siri kwenye vifaa yako yote. Unachohitaji tu ni barua pepe na nenosiri.
Table of Contents
Sehemu ya 1: Kuanzisha Akaunti ya Firefox
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)
'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
- Bomba kufungua ukurasa wa Create an account.
- Fuata maagizo ya kuunda akaunti. Weka nakala ya maelezo yako ya kuingia. Utahitaji unapounganisha vifaa yako.
- Angalia barua pepe yako kwa kiungo cha uhakiki na bomba juu yake ili kuthibitisha akaunti yako.
Mara baada ya kumaliza hatua hii, endelea kwa Sehemu ya 2.
Sehemu ya 2: Kuunganisha kifaa chako cha iOS
Bomba ikoni ya tabo juu ya skirini.
Bomba ikoni ya 'Settings' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.)
'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya Settings au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App.
- Bomba kufungua ukurasa wa Create an account.
- Bomba I already have an account na kufuata maelekezo ya kuingia.
Maelezo yako itasawazishwa katika dakika chache. Kulazimisha upatanishi wakati wowote, bomba
katika mipangilio ya Firefox menyu Settings.Kuanzisha Sync kwenye kifaa kingine, tazama:
- Desktop au laptop: How do I set up Sync on my computer?
- Simu za Android au Tablet:: Sync bookmarks, tabs, history and passwords on Android