Contributors, Firefox
Contributors, Firefox
Created:
Hujambo,
Note: Kulemaza kusasisha kiotomatiki katika Firefox haifai. Toleo la karibuni la Firefox hupata mara kwa mara masasisho ya usalama na kuwalinda salama salmini kwenye mtandao.
Hata hivyo, ikiwa kwa kweli unahitaji kuzima masasisho ya moja kwa moja ya Firefox, tafadhali fuata hatua hizi: Katika dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha menyu katika kona ya juu kulia, kisha chagua Chaguzi kipengee cha menyu.
- Kutoka dirisha la Chaguzi, bonyeza jopo la Advanced.
- Katika jopo la Ziada (Advanced), bonyeza tabo Update.
- Chni ya Firefox updates , chagua Never check for updates.
- Sasa Bonyeza kifungo OK kuhifadhi mabadiliko.
Tafadhali ripoti kama hii imekusaidia wewe.
Asante.