Firefox for iOS
Firefox for iOS
Created:
Baa ya urambazaji inakuwezesha kupitia kurasa za mtandao haraka na kwa urahisi, kwa kuweka vifungo muhimu chini ya skirini:
- Ya nyuma : kurudi kwa ukurasa uliopita.
- Ya mbele : kurudi kutoka ukurasa uliopita.
- Kunawirisha : kuweka upya ukurasa.
- Kushiriki : kutuma ukurasa wa mtandao kwa orodha yako ya kusoma au kwa programu nyingine (Ujumbe, Mail au programu nyingine iliyowekwa).
- Alamisha : hifadhi ukurasa kwa maalamisho yako.
Baa ya urambazaji ilienda wapi?
Kukupa zaidi nafasi kwenye skirini, Firefox huficha urambazaji bar kama kitabu chini ya ukurasa. Kufanya baa ya urambazaji kuonekana tena, songa njia yote hadi juu ya ukurasa: